Maelezo ya Chini
e Wanahistoria fulani wanasema kwamba Farao aliyetawala wakati Waisraeli walipotoka Misri ni Thutmose wa 3. Wengine wanasema alikuwa Amenhotep wa 2, Ramses wa 2, na kadhalika. Kwa sababu ya mvurugo wa rekodi za ukoo za Misri, ni vigumu kujua kwa hakika jina la Farao huyo.