Maelezo ya Chini
a Mwanzoni, vipindi vya hedhi vinaweza kutukia zaidi ya mara moja au chini ya mara moja kwa mwezi. Kiasi cha mtiririko kinaweza kutofautiana sana pia. Hali hizo hazipaswi kukushtua. Hata hivyo, vipindi vya hedhi visivyo vya kawaida vikiendelea kwa mwaka mmoja au miwili, huenda ikafaa kumwona daktari.