Maelezo ya Chini
b Huu ni mradi mkubwa wa biashara ambapo watu hulipa kiasi fulani cha pesa ili wajiunge na kuwatafuta watu wengine wanaotaka kujiunga na biashara hiyo. Mara nyingi biashara za aina hiyo hazitoi huduma wala bidhaa zozote.