Maelezo ya Chini
a Simba-mangu wa Iberia au wa Hispania ameorodheshwa kati ya viumbe waliomo hatarini zaidi katika orodha ya mimea na wanyama waliomo hatarini (Red List) inayotayarishwa na Shirika la Kimataifa la Kuhifadhi Viumbe na Mali za Asili.