Maelezo ya Chini
a Ni kawaida mbwa kukojoa anapokusalimu kwa uchangamfu. Nyakati nyingine huo huitwa mkojo wa kujitiisha, na unaweza kumaanisha kwamba anakutambua kuwa kiongozi. Kumkemea mbwa wako wakati huo hakutasaidia, kwani kutamfanya tu akojoe zaidi ili kuonyesha kwamba anakutambua kuwa mwenye mamlaka. Kwa kawaida, mbwa anapofikia umri wa miaka miwili, yeye huacha tabia hiyo.