Maelezo ya Chini
e Kwa mazungumzo kuhusu mbinu ya kutungisha yai nje ya mwili, ambapo yai la mke hutungishwa kwa shahawa ya mume wake, ona makala “Maswali Kutoka kwa Wasomaji,” katika gazeti Mnara wa Mlinzi la Julai 15, 1983, au Juni 1, 1981, Kiingereza.