Maelezo ya Chini
b Kulingana na uchunguzi mmoja nchini Marekani, “vijana ambao mara nyingi hunywa kupita kiasi hukosa kwenda shuleni, hawafanyi vizuri katika masomo yao, huumizwa au kujeruhiwa, na kuharibu mali mara nane zaidi ya wale ambao hawanywi kupita kiasi.”