Maelezo ya Chini
b Asilimia 40 ya eneo la Uholanzi liko chini ya usawa wa bahari. Eneo hilo lingefurikwa iwapo kuta za kuzuia maji hazingetunzwa. Nchi zenye milima kama vile Uswisi ziko juu ya usawa wa bahari, hivyo hazikabili tatizo hilo.