Maelezo ya Chini b Megawati moja ni sawa na wati 1,000,000. Balbu ya umeme ya kawaida hutumia wati 60.