Maelezo ya Chini
a Teutonic Knights lilikuwa kundi la kijeshi na la kidini la Ujerumani. Mwaka wa 1234, Papa Gregory wa Tisa, alikubali maeneo yaliyotwaliwa na kundi hilo yawe mali ya Papa, huku yakiendelea kutawaliwa na kundi hilo.