Maelezo ya Chini
a Kulingana na Dicionário de Cultos Afro-Brasileiros (Kamusi ya Dini za Wabrazili Wenye Asili ya Kiafrika), desturi ya kuosha ngazi za kanisa la Bonfim huhusianishwa sana na desturi ya Kiyoruba inayoitwa maji ya Oxalá, inayohusisha kuosha otás (mawe matakatifu) ya Oxalá.