Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Kwa ujumla, sanamu ya kidini ya kuchorwa ni mfano au ishara inayoabudiwa na washiriki wa dini fulani. Kwa mfano, katika Kanisa Othodoksi la Mashariki, baadhi ya sanamu hizo humwakilisha Kristo; nyingine Utatu, “watakatifu,” malaika au, kama ilivyotajwa juu, Maria mama ya Yesu. Mamilioni ya watu huheshimu sana sanamu za kuchorwa sawa na vile wengi huheshimu sanamu zinazotumiwa katika ibada. Dini fulani zisizodai kuwa za Kikristo zina imani na maoni kama hayo kuelekea sanamu za kuchorwa na sanamu za miungu yao.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki