Maelezo ya Chini a Ashurbanipali ambaye anadhaniwa kuwa Asenapari anayetajwa katika Biblia kwenye Ezra 4:10, aliishi wakati mmoja na Mfalme Manase wa Yuda.