Maelezo ya Chini
b Waholanzi walishindwa vita vya kuidhibiti Brazili lakini Vita vya Sukari viliendelea. Kwa kutumia ujuzi waliopata kutoka kaskazini-mashariki ya Brazili, Waholanzi walianza kulima huko Antilles. Kabla ya mwisho wa karne ya 17, sukari ya bei rahisi kutoka West Indies ilijaa katika soko la Ulaya na hivyo kukomesha haki ya kuuza sukari ambayo ilipewa tu Wareno.