Maelezo ya Chini
a Kulingana na uchunguzi mmoja uliofanywa nchini Ufaransa, hatari ya kunyauka kwa ini ni maradufu kati ya wagonjwa wenye virusi vya mchochota wa ini aina ya C ambao hunywa sana kuliko ilivyo kati ya wagonjwa wanaokunywa kwa kiasi. Inapendekezwa kwamba watu wenye ugonjwa huo wanywe kileo kidogo sana au wasinywe hata kidogo.