Maelezo ya Chini
b Wanawake wanaonyonyesha wanapaswa kuwa waangalifu kwamba baada ya kunywa, kileo huchangamana na maziwa yao. Kwa kweli, mara nyingi kiasi cha kileo katika maziwa ya mama huwa cha juu kuliko katika damu, kwa kuwa tofauti na damu, maziwa yana maji mengi zaidi ambayo hufyonza kileo hicho.