Maelezo ya Chini
a Jino lililokomaa kabisa huonyesha chakula ambacho mama alikuwa akila alipokuwa mjamzito na wakati mtoto alipokuwa mchanga meno yakikua ndani ya fizi. Hatua ya ukuzi hukoma mtoto anapokuwa tineja au anapofikia umri wa miaka ishirini na kitu.