Maelezo ya Chini
a Wanapokamata wadudu wenye miiba kama vile nyuki au nyigu, mtilili huhakikisha kwamba wameondoa sumu yao kabla ya kuwameza. Kwa kawaida, wao hutua kwenye tawi na kusugua tumbo la mdudu kwenye tawi hilo ili kuondoa sumu. Wao hata hufunga macho ili yasiingiwe hata na tone moja la sumu.