Maelezo ya Chini
c Kikundi kimoja cha kinepa-mkubwa wapatao 400 nchini Kenya walikuwa na ukoo wenye familia 60. Watafiti wanaeleza maisha ya kijamii ya ndege hao kuwa yenye kutatanisha zaidi hata ingawa jamii hiyo ya ndege ndiyo ambayo imechunguzwa zaidi kuliko jamii nyingine yoyote ya ndege.