Maelezo ya Chini
b Kuna aina tatu za kawaida za ALS: sporadic, yaani, hutukia tu bila sababu yoyote (ya kawaida zaidi), familial, yaani, hupitishwa kwa kurithi (asilimia 5 hadi 10 hivi hutokea kwa sababu ya kuambukizwa kwa chembe za urithi), na Guamanian (visa vingi vimetokea huko Guam na katika maeneo ya Pasifiki yaliyo chini ya Umoja wa Mataifa).