Maelezo ya Chini
a Mnamo 711 W.K., majeshi ya Waarabu yaliingia Hispania, na kwa miaka saba sehemu kubwa ya peninsula hiyo ikawa chini ya utawala wa Waislamu. Katika muda wa karne mbili, jiji la Córdoba likawa jiji kubwa na huenda lilikuwa ndilo jiji lenye watu wenye elimu na ustaarabu zaidi Ulaya.