Maelezo ya Chini
d Nyakati nyingine kujiumiza husababishwa na magonjwa mengine kama vile kushuka moyo, tatizo la kubadilika-badilika kwa hisia, tatizo la kushindwa kudhibiti mawazo au misukumo, au tatizo la kula. Amkeni! haipendekezi tiba yoyote hususa. Wakristo wanapaswa kuhakikisha kwamba matibabu wanayotumia hayapingani na kanuni za Biblia.