Maelezo ya Chini
a Ingawa jina London linatokana na neno la Kilatini Londinium, maneno yote mawili yanaweza kutolewa katika maneno ya Kiselti llyn na din, ambayo yakiwa pamoja yanamaanisha “mji [au ngome] ulio kwenye ziwa.”