Maelezo ya Chini
a Maeneo ya kitamaduni na ya kiasili ambayo yana thamani ya pekee kwa wanadamu kimwili, kibiolojia, kijiolojia, au kisayansi hutiwa kwenye Orodha ya Maeneo Yanayostahili Kuhifadhiwa ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi, na Utamaduni.