Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Watu fulani wanadai kwamba miaka inayotajwa katika simulizi hilo la Biblia ni miezi. Hata hivyo, andiko hilo linasema kwamba Arpakshadi alimzaa Shela akiwa na umri wa miaka 35. Tukichukua miaka hiyo kuwa miezi 35, basi Arpakshadi alimzaa mwana wake kabla ya kufikia umri wa miaka mitatu. Ni wazi kwamba hilo haliwezekani. Isitoshe, sura za kwanza za Mwanzo zinatofautisha miaka ya jua na miezi.—Mwanzo 1:14-16; 7:11.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki