Maelezo ya Chini
a Kiwango cha sasa cha joto kali zaidi kuwahi kurekodiwa ni digriiĀ 58.0 Selsiasi, nacho kilifikiwa mnamo 1922 nchini Libya. Hata hivyo, kwa ujumla katika majira ya kiangazi, yaonekana Bonde la Kifo ndilo eneo lenye joto kali zaidi duniani.