Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Ijapokuwa watu wanaotajwa katika makala hii ni wanaume, wanawake wengi wanapambana na zoea la kupiga punyeto. Hivyo, mashauri yanayotolewa hapa yanawahusu wanaume na wanawake. Pia, tambua kwamba makala hii inazungumzia zoea la kujipiga punyeto. Kumpiga punyeto mtu mwingine nje ya kifungo cha ndoa kunatiwa ndani ya kile ambacho Biblia inaita uasherati, ambayo ni dhambi nzito sana machoni pa Mungu.—Ona makala “Vijana Huuliza . . . Kuna Ubaya Gani Kufanya Ngono Kabla ya Ndoa?” katika Amkeni! la Julai 22, 2004 (22/7/2004), ukurasa wa 12-14.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki