Maelezo ya Chini
b Al-Khwārizmī alikuwa mwanahisabati maarufu Mwashuru wa karne ya tisa ambaye aliboresha hesabu za aljebra na akaanzisha dhana za hesabu za Kihindi, kama vile matumizi ya namba za Kiarabu kutia ndani dhana ya sufuri na mambo ya msingi ya hesabu.