Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

c Uasherati unatia ndani mambo kama vile ngono kati ya watu ambao hawajafunga ndoa, ngono ya mdomo na ya mkundu, vitendo vya ngono kati ya watu wa jinsia moja, kumpiga mtu mwingine punyeto, na vitendo vingine vinavyohusisha matumizi yasiyofaa ya viungo vya uzazi kati ya watu wawili ambao hawajaoana.

MAMBO YA KUFIKIRIA

◼ Ingawa huenda mwili wako usio mkamilifu ukavutiwa kufanya ngono haramu, kwa nini si sawa?

◼ Utafanya nini ikiwa mtu fulani anakuomba ufanye ngono naye bila kuwajibika?

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki