Maelezo ya Chini
a Kutungishwa kunaweza kuwa kupitia mchavusho tambuko (yaani, chavua inatolewa kwenye mmea mwingine) au kupitia mchavusho pweke (yaani, chavua inatolewa kwenye mmea uleule). Hata hivyo, mchavusho tambuko hutokeza unamna-namna wa mimea yenye afya na nguvu zaidi.