Maelezo ya Chini
a Matetemeko ya nchi, hali mbaya ya hewa, milipuko ya volkano, na mambo mengine kama hayo hayawezi kusemwa kuwa ni misiba. Mambo hayo huitwa misiba ya asili yanapoathiri maisha ya wanadamu na kuharibu mali.