Maelezo ya Chini
a Katika makala hii, tunatumia neno “beri” kama inavyoeleweka kwa kawaida kumaanisha tunda lolote dogo laini. Wataalamu wa mimea hutumia neno hilo kumaanisha matunda laini yenye mbegu nyingi. Kupatana na ufafanuzi huo, ndizi na nyanya ni beri.