Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Kumtendea mtoto vibaya kingono hutukia wakati ambapo mtu mzima anamtumia mtoto kutosheleza tamaa zake za kingono. Mara nyingi kunatia ndani kile ambacho Biblia inakiita uasherati, au por·neiʹa, ambayo inatia ndani kupapasa-papasa viungo vya uzazi, kufanya ngono, na ngono ya kinywa au ya mkundu. Vitendo vingine kama kupapasa-papasa matiti, kuwatongoza watoto, kumwonyesha mtoto ponografia (picha au habari za ngono), kuwachungulia sehemu zao za siri, na mtu kuwaonyesha kimakusudi sehemu zake za siri, vinaweza kutiwa ndani kati ya mambo ambayo Biblia inashutumu kuwa “mwenendo mpotovu” au “ukosefu wa usafi . . . kwa pupa.”—Wagalatia 5:19-21; Waefeso 4:19.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki