Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Wataalamu wanasema kwamba watoto wengi ambao wanatendewa vibaya kingono, hutoa ishara zinazoonyesha kwamba kuna tatizo bila kuzungumza. Kwa mfano, mtoto akianza kurudia tabia alizokuwa ameacha kama vile, kukojoa kitandani, kila wakati kutaka kuwa karibu na wazazi wake, au kuogopa anapoachwa peke yake, anaweza kuwa akitoa ishara ya kwamba ana tatizo kubwa. Dalili kama hizo si uthibitisho wa kwamba anatendewa vibaya kingono. Kwa utulivu muulize mtoto wako ikiwa kuna tatizo linalomsumbua ili uweze kumfariji, kumhakikishia kwamba utamtegemeza, na kumlinda.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki