Maelezo ya Chini
a ‘Uchunguzi wa mwandiko wa kale na wa Enzi za Kati unaitwa paleography. Uchunguzi huo hushughulikia hasa maandishi yaliyo katika vitu vinavyoharibika kwa urahisi, kama vile mafunjo, ngozi, au karatasi.’—The World Book Encyclopedia.