Maelezo ya Chini
b Dioscorides ya Vienna iliandikwa hasa kwa ajili ya Juliana Anicia, ambaye alikufa mnamo 527 au 528 W.K. Hati hiyo “ni mfano wa hati ya mapema zaidi ya ngozi inayopatikana yenye mwandiko wa herufi kubwa zilizounganishwa ambayo tarehe yake inaweza kukadiriwa.”—An Introduction to Greek and Latin Palaeography, cha E. M. Thompson.