Maelezo ya Chini
c Vile vinavyodhaniwa kuwa vitabu vinavyokubaliwa vya Eusebio ni orodha ya jedwali au marejeo ya pambizoni “yanayoonyesha masimulizi katika kila Injili ambayo yanafanana na masimulizi mengine.”—Manuscripts of the Greek Bible, cha Bruce M. Metzger.