Maelezo ya Chini
a Mafuta ya zeituni yanayoitwa extra-virgin na virgin yametolewa moja kwa moja kutoka kwa zeituni na hayajachanganywa na chochote. Mafuta yanayoitwa refined, au common, na olive-pomace yamechanganywa na kemikali ili kupunguza ladha kali.