Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

e Wataalamu wanaonya pia kwamba wale wanaoishi katika nyumba zenye dawa hatari au bunduki wamo hatarini zaidi. Kuhusu nyumba zenye bunduki, Shirika la Marekani la Kuzuia Kujiua linasema: “Ijapokuwa inasemekana kwamba watu wengi wanaomiliki bunduki wanaziweka nyumbani mwao ili ‘kujilinda’ au ‘kujikinga,’ asilimia 83 ya vifo vinavyohusisha bunduki katika nyumba hizo ni visa vya kujiua, na mara nyingi mtu anayejiua si yule anayemiliki bunduki.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki