Maelezo ya Chini
a Kuna jamii mbili za nyatisinga wa Ulaya—wale wa maeneo tambarare na wale wa Caucasia, au wa milimani. Nyatisinga wa mwisho wa milimani alikufa mnamo 1927. Hata hivyo, kabla ya hapo nyatisinga mwingine wa jamii hiyo alikuwa amezalisha na nyatisinga wa maeneo tambarare. Nyatisinga kadhaa waliozalishwa kwa njia hiyo na nyatisinga wa milimani bado wako.