Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Karibu kila mahali ambapo neno “upendo” linatumiwa katika Maandiko ya Kigiriki ya Kikristo au “Agano Jipya” linatafsiriwa kutoka kwa neno la Kigiriki a·gaʹpe. A·gaʹpe ni upendo wa maadili unaochochewa na kanuni, wajibu, au kutaka kufanya jambo unalopaswa kufanya. Hata hivyo, a·gaʹpe si upendo usio na hisia bali unaweza kuwa wenye kina na mchangamfu.—1 Petro 1:22.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki