Maelezo ya Chini
a Kutoa mimba kwa njia hii kunahusisha mama kudungwa sindano ya maji ya chumvi yenye sumu katika tumbo lake la uzazi, kisha mtoto anameza maji hayo ya chumvi na kufa katika muda wa saa mbili. Mama hujifungua baada ya saa 24 na kuzaa mtoto aliyekufa au—katika visa vichache—anayekaribia kufa.