Maelezo ya Chini
a Ikiwa wakati wa kuzaa kuna uhitaji wa kuchagua kati ya uhai wa mama na ule wa mtoto, ni juu ya watu wanaohusika kufanya uamuzi huo. Hata hivyo, maendeleo ya kitiba katika nchi nyingi yamepunguza sana uwezekano wa hali hiyo kutokea.