Maelezo ya Chini
b Nyota zinazolipuka zinaitwa supernova aina ya 1a na zinaweza kung’aa kama jua bilioni moja kwa muda mfupi. Wataalamu wa nyota wanatumia nyota hizo kama kiwango cha kupimia.