Maelezo ya Chini
b Mifano ya mambo hayo inatia ndani malipo ya kupata msamaha, Baraza la Kikatoliki la Kuhukumu Wazushi, na pia kuchomwa kwa Biblia nyingi na makasisi ambao hawakutaka Neno la Mungu lisomwe na waumini wao.—Ona gazeti la Mnara wa Mlinzi la Novemba 15, 2002 (15/11/2002), ukurasa wa 27.