Maelezo ya Chini
a Vijana wanaojitenga vyumbani mwao wamekuwa wengi nchini Japani hivi kwamba wamepewa jina hikikomori. Watu fulani wanakadiria kwamba kuna hikikomori kati ya 500,000 na 1,000,000 huko Japani.