Maelezo ya Chini
b Ilipoanzishwa mwaka wa 1979, mbuga hiyo iliitwa Mbuga ya Taifa ya Huanchaca. Jina lake lilibadilishwa mwaka wa 1988 na kuitwa Noel Kempff Mercado ili kumkumbuka mwanabiolojia huyo wa Bolivia, aliyeuawa kwenye nyanda hizo na walanguzi wa madawa ya kulevya baada ya yeye kugundua bila kujua maabara ya kutengeneza kokeini.