Maelezo ya Chini
b Kwa sababu ya hilo na mambo mengine, urefu wa msimu wa kuabiri umeongezwa mara tatu hivi kuliko ulivyokuwa awali kwa ajili ya meli zinazotoka upande wa mashariki wa Aktiki na kuongezwa zaidi ya mara mbili kwa ajili ya meli zinazotoka upande wa magharibi wa Aktiki.