Maelezo ya Chini
b Kwa kuwa kipindupindu husababishwa na chakula au maji yaliyochafuliwa, siri ya kuzuia ugonjwa huo ni kuchunga chochote kinachoingia kupitia mdomo. Kuua viini katika maji na kupika chakula kabisa ni njia muhimu za kujilinda.