Maelezo ya Chini
a Miaka mingi mapema, wavumbuzi Cunningham (1828) na Leichhardt (1843) walikusanya kokwa za makadamia, lakini zilihifadhiwa bila kuchunguzwa. Mnamo 1857, Ferdinand von Mueller, mtaalamu wa mimea huko Melbourne aliyefanya kazi pamoja na Hill, alizitia katika jenasi ya Macadamia, jina la rafiki yake wa karibu Dakt. John Macadam.